HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 3, 2015

LOWASSA ATUA MPANDA KWA CHOPA, APATA MAPOKEZI MAKUBWA

Chopa iliyowabeba Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, ikitua kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mwenyekiti wake, Mh. Freeman Mbowe, wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwapingia wananchi wa Mpanda, Mkoani Katavi.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akihutubia kwenye Mkutano huo wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015. 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza jambo na Mgombea wa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mtapenda, Bi. Pauline Pesnacy, mara baada ya kumnadi kwa wananchi wa Mpanda, waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni na kunadi sera zake.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Jonas Kalinde, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Urais, uliofanyika Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akizungumza na Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku.
Furaha ya Vijana wa Mpanga.
Wanampanga wakiwa wameweka mikono juu kwa ishara ya kutaka Mabadiliko.
Baada ya kupigwa na jua kali, inabidi ajimwabie maji kupunguza ukali wa joto.

Mbunge aliemaliza muda wake wa Jimbo la Ole Zanzibar, Mh. Rajab Mbarouk akihutubia kwenye Mkutano huo.

Sehemu ya wanachana na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waliofika kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia CHADEMA, Mh. Edward Lowassa.
Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha akizungumza na wananchi wa Mpanda.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mpanda Mjini, Jonas Kalinde akizungumza na wanampanda wenzake wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia CHADEMA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.
Wakisikiliza kwa Umakini.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe, akimkabidhi mfano wa funguo, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia kwenye Mkutano huo wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kashaulili, Mpanda Mkoani Katavi leo Septemba 3, 2015.

2 comments:

  1. ASANTE SANA WANANCHI WA MPANDA KATAVI AMA KWELI MMEDHIHIRISHA UPENDO WENU KWA RAIS WETU MTARAJIWAA AWAMU YA TANO MHE.EDWARD NGOYAI LOWASSA.UJUMBE WA BAADHI YA MABANGO YENU NI KIBOKO.TUNASOMA;MOTO WA RADI HAUZIMWI NA GIZA NA JINGINE TUMEJIANDAA KUVUNJA MAKUFURI NA KUMWAGA POMBE. NI RAHA RAHA RAHA COMFORTABLE

    ReplyDelete
  2. EWE MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA UMEKWISHA JIDHIHIRISHA KWA KUSIKIA MAOMBI YETU KILIO CHETU MATARAJI YETU KAMA TAIFA LA TANZANIA KWA KUTULETEA SISI MALOFA MJA WAKO MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA KUWA NDIYE MKOMBOZI WETU RAIS AJAYE WA TANZANIA.MUIMARISHE EWE MOLA WETU MPE NGUVU MZIDISHIE UKOMAVU WA UJASIRI WAANGAMIZE KIFIKRA MAHASIMU WAKE AMBAO NI WETU SOTE MJAALIE AFYA NA AMANI TELE MZIDISHIE HEKMA NA USHUPAVU ILI AWEZE KUTUTAWALA KWA HEKIMA HESHIMA AMANI NA UTULIVU ATULETEE MAENDELEO TUNAYOYAHITAJI NA AMBAYO TUMEYAKOSA MUDA MREFU NA UWAJAALIE HEKMA WALE WOOOTE ATAKAYEWATEUA KUFANYA KAZI KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOOTE UWAPE NGUVU NA DIRA IGEUZE EWE MOLA WETU NCHI HII KWA KIPINDI KIFUPI IWE MFANO PEKEE WA MAFANIKIO YA KIUCHUMI NA HUDUMA KATIKA BARA ZIMA LA AFRIKA.KWAKO WEWE MOLA WETU NA KWA KUKUTEGEMEA WEWE YOOOOTE HAYA YATAWEZEKANA.MUNGU IBARIKI AFRIKA MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU MLINDE MJA WAKO MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA,EMEEN.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad