HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 14, 2015

LOWASSA AENDEKEA NA ZIARA YA KAMPENI MKOANI SHINYANGA LEO, AAHIDI KUUNDA SERIKALI ITAKAYOCHANGAMKIA MAENDELEO YA KUWANUFAISHA WATANZANIA WOTE

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akiongozana na aliekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga, Ndg. Hamis Mngeja wakiwapungia wananchi wa Mji wa Kahama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini, Mkoani Shinyanga leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo. Katika hotuba yake, Mgombea huyo amesema iwapo atafanikiwa kuwa Rais wa Tanzania, ataunda Serikali itakayochangamkia Maendeleo yatakayowanufaisha Watanzania wote kwa Ujumla.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokelewa na Mwenyeji wake, Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini, Mkoani Shinyanga, leo Septemba 14, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akilakiwa na maelfu ya wakazi wa mji wa Kahama, Mkoani Shinyanga, leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwasalimia wananchi wa Mji wa Kahama, Mkoani Shinyanga.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini, Mkoani Shinyanga, leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia Mkutano wa Kampeni wa hadhara wa kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini, Mkoani Shinyanga, leo Septemba 14, 2015.
Mwanasheria wa CHADEMA, Mh. Tundu Lissu akihutubia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini, Mkoani Shinyanga, leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, akihutubia Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini, Mkoani Shinyanga leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwanadi Wagombea wa Udiwaki wa Kata mbalimbali za Kahama, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akipokea mfano wa funguo yenye ujumbe wa "Mabadiliko", kutoka kwa Mgombea Ubunge wa Ukawa kupitia CHADEMA, Mh. James Lembeli, katika Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.
Sehemu ya Umati wa wananchi wa Mji wa Kahama, wakiwa wamefurika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015, wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa.

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akiwa ameinua juu mfano wa funguo.
Mdau akijipoza kwa maji wakati akiwa kwenye Mkutao wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Stendi mpya, Nyasubi, Kahama Mjini leo Septemba 14, 2015.

1 comment:

  1. ukawa wana sera ambazo zinamgusa kila mwananchi kwamba zitamuondolea makali ya maisha na kumpa unafuu kwa kila mtanzania. mfano elimu, afya na kilimo.mpaka hapo naaza kuwaelewa na kujua maana ya mabadiliko wanayosema ukawa. mabadiliko oyeeeee

    ReplyDelete

Post Bottom Ad