HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 5, 2015

HIVI KWELI HILI LAIFU NDO LINAVYO BADILIKA BADILIKA HIVI DUU!!

Kijana huyu alinaswa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa akiwa na mawazo lukuki juu ya Safari ya maisha kama aonekanavyo hapo tuli akipata Upepo mwanana kabisa huku akiwa ameweka Mkono Shavuni...#Kamerayamtaakwamtaablog.
"Mwakani nitanunua Magari mawili, Nyumba ntajenga mbali kidogo na Mji na kuoaaa mhhh bado nipo nipo kwanza...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad