HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 1, 2015

NHIF YAWAFUNDA WAANDISHI HABARI PAMOJA NA JUMUIYA YA MASHEIKH WA JUMUIYA YA ZAWIYATUL QADIRIA

Mkurungenzi wa Masoko na Utafiti wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Athumani Rehani (katikati) akizungumza na waanshi wa habari (hawapo pichani) juu ya kujiuga na mfuko huo leo jijini Dar es Salaam. kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Media Car Wash for Cancer,Benjamin Thomson na kulia ni Afisa Matekelezo Mkuu wa NHIF,Hance Mwankenja.
Mwenyekiti wa Kamati ya Media Car Wash for Cancer,Benjamin Thomson akizungumza na waanshi wa habari juu ya kujiuga na mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika warsha fupi iliyokuwa ikizungumzia juu wa wao kujiunga na Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya leo jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa habari wakionyesha kadi za mfuko wa bima ya Afya leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Mfuko wa Afya ya Jamii CHF wa NHIF ,Uegene Mikongoti akizungumza na masheikh wa Jumuiya ya Zawiyatul Qadiria wakati wa kuwajengea uwezo wa kujiunga na bima ya afya leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya masheikh wa jumuiya hiyo walioshiriki mkutano huo.
Mmoja wa Masheikh,sheikh Haruna Ayubu akikabidhiwa kadi na Mwenyekiti na Msimamizi wa jumuiya hiyo, Alhaj Said Kilahama leo jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad