HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 1, 2015

WE SEMA TUU NANI ALIPE...ILA WAKIKUBAINI SASA UTAJUA UTAKAPO ITOA...

Bango la tangazo la kupiga marufuku kutupa takataka eneo hilo pichani, tena bango hilo limewekwa kwa kuzingatia sheria kabisa kukaa kando kando ya mkeka wa vumbi na kuwekwa angalizo kali kwa msisi tizo lisemalo"MARUFUKU KUTUPA TAKA TAKA ENEO HILI....FAINI Tsh.50,000/= Zakitanzania, sasa ole wako wakubaini ndipo utajuwa kuwa ni wakina nani walio weka bango hilo na ninani anae chukua tozo hiyo hapo...
huu ni upande wa pili wa bango hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad