HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 5, 2015

WAZICHAPA MBELE YA OFISI ZA SERIKALI ZA MITAAA...

Vijana wawili majina yao yamehifadhiwa  mapema walijikuta wakirushiana makonde katika ofisi za kata mara baada ya kuonesha utofauti wao kutokana na fahari wawili kuto kaa zizi moja ndipo sekeseke lilipo ibuka kwa chanzo ambacho mpaka sasa hakija pata fahamika kutokana na ugomvi wao ni wa muda mrefu..
Mashuhuda wakishuhudia kama kawaida ya majirani linapo tokea jambo kama hili kila mmoja hupenda kuosha macho yake kwa kuogopa kusimuliwa..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad