HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 29, 2015

TTCL YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA WADAU WA MAWASILIANO

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na tekinolojia, Selina Lyimo akimkabidhi cheti cha shukrani, Mkuu wa Idara ya Mkongo wa Taifa, wa Kampuni ya TTCL, Adin Mgendi wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa ya siku mbili ya wadau wa mawasiliano wa mkongo huo iliyoanza jijini Dar es Salaam Julai 28, 2015.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na tekinolojia, Selina Lyimo akimkabidhi cheti cha shukrani, Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Huwawei, Jimmy Liguo Jin wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa ya siku mbili ya wadau wa mawasiliano wa mkongo Taifa iliyoanza jijini Dar es Salaam.
Adin Mgendi akonesha ramani ya mtandao wa Mkongo wa Taifa wakati wa mkutano jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Extensia, Tariq Malik (katikati) akifrahia jambo na wadau mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Kulia ni Naibu Waziri wa ICT, Postali na Huduma Uchukuzi wa Zimbabwe, Win Mlambo na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia, Selina Lyimo.
Wadau mbalimbali wakafuatilia matukio wakati wa mkutano huo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Extensia, Tariq Malik akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Mauzo wa Avanti, Shobena Appalraju kwenye mkutano huo.
Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Tekinolojia wa Lesoto (kushoto) na Naibu Waziri wa ICT, Postali na Huduma Uchukuzi wa Zimbabwe, Win Mlambowakiekea ukumbini kuhudhuria mkutano huo.
Mmoja wa wadau akiwasilisha mada wakati wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad