HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 4, 2015

TASWIRA ILIYONASWA NA KAMERA YA MTAA KWA MTAA

Katika katiza katiza za Kamera ya Mtaa kwa Mtaa mchana wa leo, iliweza kuinasa Taswira hii ya Wakinamama hawa wanaofanya biashara ya Matunda wakiwa wameketi katika moja ya mitaa ya Mjini Dodoma kwa kujipumzisha huku wengine wakiwa wameuchapa usingizi mzito.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad