HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 5, 2015

MADOGO WAKICHANA MBAWA ZAO KWA KUPIGA MBIZI MTO IYELA JIJINI MBEYA..

Katika katiza katiza za mtaa kwa mtaa bog kama kawaida kuhakikisha hakiachwi kitu mbele ya jicho la kamera yake ilikumbana na baadhi ya taswirazz za madogo janja wakichana mbawa zao kwa kupiga mbizi katika mto mdogo maji mengi eneo la iyela bawa la ndege jijini mbeya..Picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
hapo ni moja ya madogo hao akiwaonesha wenzake makeke aliyo nayo katika ujuzi wake wa kupiga mbizi..
hapo ni dogo mwingine akitaka kupima kina cha maji kabla ya kuingia..
dogo akielea elea huku mwenzake akifurahia jambo..
mbizzz..
yani  ni kiulainiii hakuna baridi wala nini we mwenyewe si unaona hapo..
dogo akiendelea kuonesha utaalamu wake katika fani yake ya kupiga mbizz...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad