HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 1, 2015

KIDUME KIKIUWONA MCHANA KWA KUPIGA UGALI MTINDI....

Kamera ya mtaa kwa mtaa ilimfuma kijana huyu maeneo yale yale ya changanyikeni akijitibu kwa kuuona mchana kwakula chakula cha ugali na maziwa ya mgando(Mtindi) kalibu na kijiwe chake akiujenga mwili ipasavyo kitaani hapo...
kidume kiki peleka tonge kunako husika..
 hao ni tonge moja fundo la maziwa tuu..
Mchana huoo tayari ndio unapita hivyoo.....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad