HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 31, 2015

KIBAKA KIBINDONI KIMYA KIMYA MTAANI KWETU..

Kamera ya mtaa kwa mtaa blog iliinasa taswira hii ya kibaka alie bainika na mdau mwenye tisheti nyeusi pichani  kutiwa kibindo huku wakielekea kunako husika bila kubiga kelele yani kimyaa kimyaa kama waonekanavyo hapo  imezoeleka pindi kibaka anapo bainika hupigwa ngoro ya mwiziii..
kimyaa kimyaa utataja tuu>>>> 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad