HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 4, 2015

GARI LAPARAMIA PAA LA NYUMBA HUKO BONDENI

Mapema hii leo gari liligonga na kuingia ndani ya nyumba moja nchini Afrika Kusini kupitia paa la nyumba hiyo kulingana na huduma ya dharura ya ER24 nchini humo.
Dereva wa gari hilo amesema kuwa alipokuwa akiliendesha gari hilo alikutana na tuta moja barabarani lililosababisha gari hilo kuruka na kuanguka katika paa la nyumba hiyo.
Bado haijulikani ni vipi tuta hilo lilisababisha ajali hiyo. Hakuna mtu aliyejeruhiwa na dereva wa gari hilo hakupata jeraha lolote. 

CHANZO: BBC SWAHILI

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad