HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 4, 2015

AKUTWA AMEFARIKI DUNIA KANDO KANDO YA MTO JIJINI MBEYA

 Mtu mmoja aliefahamika kwa majina Kenned Zakalia Mwakalime (19) amekutwa amefariki Dunia kando kando ya mto Jianga jijini Mbeya, Inadaiwa kuwa, Mtu huyo ambaye inasemekana kuwa alikuwa na ugonjwa wa kuanguka, alifikwa na umauti huo usiku wa kuamkia leo mara baada ya kupatwa na ugonjwa huo na kuanguka kwenye maji ya mto huo, Hali iliyowapelekea Wakazi wa maeneo ya jirani na mto huo kutoa taarifa Polisi ambao walifika eneo la tukio na kuuchukua mwili huo kwa ajili ya uchunguzi zaidi. picha na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo wa Mtaa kwa Mtaa,Mbeya.
Sehemu ya Wakazi wa Maeneo ya jirani na Mto huo wakiangalia mwili wa Mtu huyo.
majonzi yakiwa yametawala eneo hilo la sinde mtaa wa kagwina jijini mbeya..
humu ndimo inaposemekana kuwa marehemu alitumbukia mpaka mauti kumfika..
wakazi..
jeshi la polisi likiondoka na mwili wa marehemu eneo hilo..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad