HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 19, 2015

demo-image

HAYA NDIO MAFURIKO ALIYOYAPATA MH. LOWASSA JIJINI MBEYA LEO, WADHAMINI 53,156

0D6A4458
Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (katikati), wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya leo Juni 19, 2015, kukabidhiwa fomu zitakazomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mbeya wamevunja rekodi udhamini kwa Mh. Lowassa ya mikoa yote aliyopita, amepata wadhamini 53,156 kwa mkoa wa Mbeya pekee.
MMGL0736
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kwa Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, waliofurika kwa wingi wao kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya, wakati alipowasili kwenye Ofisi hizo leo Juni 19, 2015, tayari kwa kupokea fomu za WanaCCM 53,156 wanaliomdhamini ili apate ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
MMGL1031.
MMGL1063
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza machache na kutoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya, leo Juni 19, 2015.
MMGL0717
Furaha ya Mh. Edward Lowassa kwa wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, hata haikujificha pale alipata mapokezi makubwa ambayo hata yeye hakuyategemea.
MMGL0285
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu tisa wa Wilaya ya Mbeya Vijijini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, Mary Kalinze.
MMGL0380
MMGL0367
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwenye mji Mdogo wa Mbalizi wakati aliposimama kuwasalimia.
MMGL0098
Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Kijana Mwenye ulemavu, Ernest Mhagama aliekuja kumpokea katika Uwanje wa Ndege Songwe, Jijini Mbeya leo Juni 19, 2015.

MMGL0083
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akitoka nje ya Uwanja wa Ndege wa Songwe na kulakiwa na umati wa WanaCCM wa Mkoa wa Mbeya.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
MMGL0098
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Kijana Mwenye ulemavu, Ernest Mhagama aliekuja kumpokea katika Uwanje wa Ndege Songwe, Jijini Mbeya leo Juni 19, 2015.
MMGL0131
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwapungia wanaCCM wa Mkoa wa Mbeya.
MMGL0195
MMGL0153
MMGL0157
 Shangwe kwa wanaCCM wa Mji wa Mbalizi, Mbeya Vijijini.
MMGL0167
 Mh. Lowassa akiteta jambo na Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Vijijini.
MMGL0259
MMGL0261
MMGL0270
 Umati wa wanaCCM wa Mji wa Mbalizi jijini Mbeya.
MMGL0285
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipokea fomu za WanaCCM zaidi ya elfu tisa wa Wilaya ya Mbeya Vijijini kutoka kwa Katibu wa CCM wa Wilaya hiyo, Mary Kalinze.
MMGL0367
MMGL0380
MMGL0458
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza na WanaCCM wa Wilaya ya Mbeya Vijijini, kwenye mji Mdogo wa Mbalizi wakati aliposimama kuwasalimia.
MMGL0507
  Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akiwasalimia wanaCCM na Wananchi wa Mji wa Mbalizi jijini Mbeya waliojitokeza kumlaki.
MMGL0570
MMGL0577
MMGL0581
MMGL0588
MMGL0628
 MMGL0610
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa njiani.
MMGL0655
MMGL0671
 "Hamjambo wanaMbeyaa....."
MMGL0699
 Umati wa watu wa CCM Mkoa wa Mbeya.
0D6A4458
MMGL0751
MMGL0759
Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, wakiwa wamemzunguka, Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa (katikati), wakati alipowasili kwenye Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya leo Juni 19, 2015, kukabidhiwa fomu zitakazomuwezesha kupata ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Mbeya wamevunja rekodi udhamini kwa Mh. Lowassa ya mikoa yote aliyopita, amepata wadhamini 53,156 kwa mkoa wa Mbeya pekee.
MMGL0717
 Furaha ya Mh. Edward Lowassa kwa wanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, hata haikujificha pale alipata mapokezi makubwa ambayo hata yeye hakuyategemea.
MMGL0736
 Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akipunga mkono kwa Umati wa WanaCCM pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya, waliofurika kwa wingi wao kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya, wakati alipowasili kwenye Ofisi hizo leo Juni 19, 2015, tayari kwa kupokea fomu za WanaCCM 53,156 wanaliomdhamini ili apate ridhaa ya Chama chake kuwania Urais kwenye Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015.
MMGL0796
MMGL0798
MMGL0812
 Hakuna kwa kukanyaga, ukitoa mguu mwingine kaweka.
MMGL0814

MMGL0816

MMGL0818

MMGL0822

MMGL0837

MMGL0841
MMGL0848
 Muimbaji wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku akiwasalimia wanaCCM wa Mkoa wa Mbeya.
MMGL0857

MMGL0867
 Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya, Mwangi Kundya akizungumza machache.
MMGL0874
 Katibu wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini, Kulwa Milonga akisoma idadi ya wanaCCM waliomdhamini Mh. Edward Lowassa Mkoa wa Mbeya.
MMGL1005
MMGL1007
 WanaCCM wa Mkoa wa Mbeya wakifatilia kwa makini.
MMGL1025
 Shangweeeeee....
MMGL1031.
MMGL1037.
MMGL1063
  Waziri Mkuu Mstaafu na Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania, Mh. Edward Lowassa akizungumza machache na kutoa shukrani kwa WanaCCM na Wananchi wa Mkoa wa Mbeya waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya, leo Juni 19, 2015.
MMGL1049

MMGL1093
 Mh. Lowassa akisalimiana na Mkuu wa Machifu wa Mkoa wa Mbeya.
MMGL1112
 Akisalimiana na wazee Machifu wa Mkoa wa Mbeya.
MMGL1134
 Mkuu wa Machifu wa Mkoa wa Mbeya akitoa baraka zake kwa Mh. Lowassa.
MMGL1183
Picha ya Pamoja na Machifu wa Mkoa wa Mbeya. 
MMGL1259
 Picha ya Pamoja na Wamasai wa Mkoa wa Mbeya.
MMGL1277

MMGL1300

MMGL1306

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *