HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 22, 2015

WATOTO WAKIFAIDI UNONO WA KIWEKWA TAKA KILICHO JIKATIA TAMAA MTAANI KWETU...

Kama kawaida ya libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog lilipo kuwa mtaani kukusanya mawili matatu kwa kuhakikisha libeneke lako halilali njaa.. lilipita katika mitaa ya maanga jijini mbeya na kunasa taswira za watoto wakiwa kwenye kiwekwa taka kilicho jikatia tamaa katika eneo hilo na kugeuzwa kama ni sehemu ya michezo kwa watoto wa mtaa huo kutokana na kutelekwezwa kwa muda mrefu..picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa watoto wakikazana na michezo mbalimbali mipya na yazamani kwenye kiwekwa taka hicho bila kujari usalama kwani lolote linaweza kutokea hapo na hivyo ni vyuma mdau.
watoto tundu hao sasa na kijicho kwenye kamera...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad