HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 24, 2015

WATOTO WAKICHEZA NA VISU KATIKA UMENYAJI WA VIAZI....

 hii ni mara baada ya mapumziko ya weekend watoto hawa ni kawaida yao kusaidia shughuli mbalimbali za nyumbani kama waonekanavyo katika taswira hapo juu wakiwa bize na umenyaji wa viazi kuajili ya chakula cha mchana.
                                          kila mmoja yupo bize na kisu chake....

1 comment:

  1. Nyumbani rahaa . Huku ulama subutu ati my ashoke kisu . Kiwembe tuu ukutwe Nacho mfukoni kosaa. Dinia ni sheria
    Mungu awakuze wanangu awape elimu muwe maraisi wa kesho

    ReplyDelete

Post Bottom Ad