HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 5, 2015

WAKIGOMA SIE TWABEBA.....

 Hivi ndivyo hali ilivyo katika maeneo mengi ya jiji la Dar na sehemu zingine nyingi, baada ya mgomo wa mabasi unaoendelea hivi sasa kwa nchi nzima. hapo nauli ni kuanzia mia tano mpaka elfu moja.
 Boda boda kwao ndio kama Sherehe, maana hawazuiliwi tena kuingia mjini.
 Pikipiki za magurudumu matatu leo hazipakinii mizigo, badala yake zinapakia Abiria.
 Huu ndio usafiri pendwa kwa kipindi hiki.

1 comment:

Post Bottom Ad