HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 22, 2015

VYOMBO VIKIWA SEVISI...

Dokta bajaji akiwa kilingeni kwake katika harakati ya kurekebisha vipandwa aina ya bajaji mitaa ya ilemi mbeya huku vikiwa vimepangwa kwa msururu yani hapo inatibiwa moja baada ya nyingine.picha na mtaa kwa mtaa blog.
                            kilinge cha dokta bajaji kionekanavyo kwa mbalii..
mambo ya sevisi yakiendelea hapo..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad