HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, May 3, 2015

UKIONA HIVI UJUWE HILO KARO LIMEJAA NA MWENYENYUMBA HATAKI MAJI TAKA KWENYE KARO LAKE.

 Kamera ya libeneke lako pendwa ilifanikiwa kunasa taswira mbalimbali za dada huyu alie kuwa akichota maji juu ya karo la vyombo kwa kuashiria kuwa hapa pamezibwa na mwenyenyumba hataki uchafu wa maji kutwama kwenye karo hilo linalo tumika kuoshea vyombo.picha na mtaa kwa mtaa blog.
dada akifanya maharifa ya kuteka maji hayo na kuweka kwenye ndoo.
hii ndio mbinu aliyo kuwa akiitumia mwanadada huyo mtaani kwetu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad