HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 6, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA WAPIGANAJI WA BIASHARA NDOGO NDOGO MJINI NJOMBE.

 Kamera ya mtaa kwa mtaa ilizama mpaka eneo la soko maharufu mjini njombe na kujinasia taswirazz mbali mbali za wachapakazi waliopo nje ya soko hilo na kushuhudia jinsi biashara zinavyo songa mjini hapo kama jinsi ambavyo chinga huyo pichani aonekanavyo.picha na mtaa kwa mtaa blog.
 mzee wa kudedisha wadudu na wanyama sumbufu akiweka mambo sawa kilingeni kwake. 
mkoba wa zana za sumu mbalimbali za wadudu sumbufu.
Chinga akiweka mambo sawa kwenye goli lake mjini hapo.
watu wabandia wakiwa ndani ya pamba nyepesi.
mama nanii akimimina mchele kwenye kilinge chake mjini hapo.
mzigo ukifungwa kwenye kipandwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad