HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 22, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA MDAU AKI VIZIA KUPIGA MAJI....

 Kamera ya mtaa kwa mtaa ilipo tegwa kwa lengo la kunasa taswirazz za mdau alie kuwa akilavizia kupiga mji mapema leo na kubahatika kunasa taswira za kutosha juu ya mbinu aitumiayo mdau huyu wakati akijiandaa kwenda kazini kwake ambae jina lake limehifadhiwa.picha na mtaa kwa mtaa blog.
povu la kutosha kwenye uso amboo siku zote ni mapokizi katika mwili wa binadamu lazima mtu akuangalie usoni kwanza ndo sehemu zingine zifuate.
 maji yakirushwa shingoni....mgongoni hayafiki hayoo..
mgongo mkavuuuuu.......
aonekanavyo kwa chini akiendelea na tendo hilo.
hapa ni mara baada ya maji ya kwanza kuisha na kuenda moja kwa moja kuongeza mengine kuajili ya laundi nyingine.
maji yakibadilishwa chemba...
maji ya laundi ya pili kuajili ya kuji suuza yakiwa tayari sasa na baada ya hapo ni kwenda kupiga pamba nyepesi, manukato ya nguvu ili anapo ingia ofisini lazima ujue ni mpenda kuoga tuu....

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad