HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 4, 2015

TASWIRA MBALI MBALI ZA HALI ILIVYOKUWA LEO KWENYE STENDI KUU YA MABASI UBUNGO JIJINI DAR

 Mabasi yakiwa yameegeshwa katika Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam leo.
 Taswira ya kituo cha Simu 2000 Ubungo jijini Dar es Salaam leo baada ya mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria.
 Barabara ya Sam Nujoma eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo.
 Licha ya mgomo wa madareva Miundombinu ya maji machafu hakuna katika kituo cha Mabasi Yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.
Hakuna kukanyaga maji ni kuruka mawe tuu.
Taswira ya Kituo cha mabasi yaendayo mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam.

(Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad