HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 29, 2015

MCHUMA UMEROGA HAPO....

Hii ndio mbamba nsilili sasa ukiona mchuma kama huu unakwama kwenye kikata shoto na kikata kulia ujue hili sasa ni bonge la zali la mentali yani aingii mtu wala hatoki mtuu hapo.
mchuma huo bado ulionekana ukiwa umekwama katika eneo la mwanjerwa.
boda boda akitafuta upenyo wa kujipenyeza pembeni.
ulikuwa ukitikisika tuu na kuvuka moshi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad