HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 6, 2015

MAMBO YA VISUKUMWA VYA MBAO HAYA MJINI NJOMBE.

 Hivi visukumwa vya aina yake vinapatikana kwa wingi mjini njombe kwa shughuli mbalimbali katika swala zima la kusafirisha mzigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine kama ambavyo mdau pichani alivyo naswa na kamera yetu.picha na mtaa kwa mtaa blog.
    kisukumwa kingine kilee kikiwa tupu sasa kikifuata mzigo kunako hitajika.
visukumwa vya mbao hivyo vikiwa kwa kijiwe vimetulia tuli kusubiri shurba shurba.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad