HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 22, 2015

KITOWEO CHINIII....

Baada ya mdau huyo pichani kunogewa na kupepeza kipandwa chake na kujikuta akidondosha kitoweo kando kando ya bara bara ya sangu na hii ni mara baada ya mfuko alio kuwa akiutumia kuwekea kitoweo hicho kupasuka,picha na mtaa kwa mtaa blog.
jamaa mdogo mdogo bala nongwa wala cha nini kuinama na kuokota kitoweo hicho kilicho acha mfuko.
                                "hiki mbona kiki pigwa sop sop ya maji kipya tuuu"
baada ya kuokota kitoweo hicho unafikiri hata hamu ya kupanda kipanwa chake ili kwepo...

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad