HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 22, 2015

JESHI LA MTU MMOJA HILI....

 Kamera ya mtaa kwa mtaa ilimnasa mdau huyu aliye kuwa mzigoni kwake na mzigo wa maana mitaa ya makunguru kuelekea maeneo ya jua kali bila kumshirikisha mtu..na hii bila shaka ni kutokana na mgawanyiko wa fedha..picha na mtaa kwa mtaa blog.
hapa mpaka kieleweeke..
mdogo mdogo pila papala wala cha nini.
yaani jamaa yupo ngangari vibaya mmno unajuwa alicho kibeba humo....??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad