HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 22, 2015

JAMAA AKIJIPIGA SOP SOP KATIKATI YA BARABARA MCHANA KWEUPEEEE.....

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa Bog katika pita pita zake imemnasa Mtanzania mwema huyu (jina limetupiga chenga) akijipiga sop sop kwa kutumia maji yaliyotuama katikati ya barabara kutokana na mvua zilizopita hivi karibuni. Jambo hilo liliwashangaza wengi waliokuwa wakipita karibu na eneo la tukio hilo lakini mwenyewe hakujali wala nini na kuendelea kujiswafi kwa maji hayo.
 Kwa raha zake huku mchuma wake ukiwa umepaki pembeni kumsubiri amalize kujipiga sop sop.
 Usafi unahitaji utulivu.
Mara akamaliza kupiga zake sop sop na sasa kachukua mchuma wake na kujikata zake.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad