HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 5, 2015

HIVI NDIVYO HALI ILIVYO JIJINI MBEYA KUTOKANA NA MGOMO WA MADEREVA WA VYOMBO VYA USAFIRI.

Madereva wengi nchini wamefanya mgomo wa vyombo vya usafiri, tangu jana asubuhi mpaka siku ambayo bado haijajulikana hatima ya mgomo huo, wakazi wa jiji la mbeya wajikuta wakiwa katika wakati mgumu kutokana na adha ya usafiri kutokana na vyombo hivyo kuweka mgomo, wasafiri wa mikoa na wilaya mbali mbali bado wapo katika halingumu sambamba na wanafunzi wasomao mbali kidogo na mji wa jiji la mbeya.picha zote na Fadhiri Atick (Mr.Pengo) Mbeya.
baadhi ya Abilia ambao ilitakiwa wasafiri tangu jana wakiwa katika pilika pilika stendi kuu soko matora kusubiri hatima ya mgomo huo.

wanafunzi wajikuta hakizunguka zunguka katika stendi ya kabwe kuangahikia usafiri wa kuwapeleka shule.



bajaji zikiwa zimeingia barabarani kukusanya abilia kwa bei ya juu kulingana na daladala zinazo fanya mzungunguko jijini hapo.



          Abilia wakiwa katika butwaa katika stendi ya zamani mwanjerwa.
                                                      PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad