HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 26, 2015

GEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU

Timu ya Mfuko wa Pensheni wa GEPF ikipasha kabla ya kuanza kwa bonanza maalum la wiki ya GEPF (GEPF Week) katika viwanja vya shule ya sekondari ya Popatlal.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa GEPF Bi Joyce Shaidi akitoa neno la ufunguzi kabla ya kuanza rasmi kwa bonanza la wadau wa Mfuko wa GEPF. aliye mkono wake wa kushoto ni kamanda wa Polisi Mkoani Tanga, Omary Ntungu.
Meza kuu ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Bi. Joyce Shaidi, MenejaMasoko, Bw. Aloyce Ntukamazina na Mkuu wa Kitengo cha Teknohama, Bw. Edgar Shumbusho wakifuatilia kwa makini mtanange wa wadau wa Mfukowa GEPF.
Washindiwa Bonanza la GEPF timuya Chuo cha Utumishi cha Tanga wakifurahia ushindi baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa.

Mwakilishi toka timu ya wadau wa Takukuru akipokea cheti cha ushiriki toka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bi Joyce Shaidi.
Captain wa timu ya GEPF Bw Erick Haule akipokea kikombe cha ushindi wa tatu katika mashindano hayo.
Captain watimu ya Magereza mkoa wa Tanga akipokea kikombe cha ushindiwa pili wa bonanza maalum la wiki ya GEPF.
Meneja Rasilimali watu wa Chuo cha Utumishi Bw Richard Sikira akikabidhiwa kikombe cha ushindi wa kwanza toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi.
Timu maalum ya wadau ambao ni wanachama wa Mpango wa Hiari wa VSRS walioko Mkoani Tanga wakifurahia kwa pamoja na maafisa wa Mfuko wa GEPF Bw Baraka Mtoi pamoja na Silvanus Aloyce.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad