HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, May 6, 2015

CHEM CHEM ISIYOKAUKA KATIKA BARABARA YA MIGOMBANI, MIKOCHENI "A" JIJINI DAR

 Kamera ya Mtaa kwa Mtaa kama kawaida yake, huwa haikosi jambo la kukupatia wewe mdau wake. Leo Imekatiza tena katika barabara hii ya Migombani, Mikocheni "A" jijini Dar na kukuta ile chem chem isiyokauka ikiendelea kutoa maji kwa wingi kabisa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad