Askari
wa usalama barabarani mkoani Arusha wakimkamata mwendesha
bodaboda(aliyevalia fulana nyuepe)leo kwa kukiuka sheria za barabarani
katika eneo la boma mkabala na ofisi za TTCL jijini Arusha ,hata
hivyo dereva huyo alichomoka na ufunguo wa pikipiki na kuwaacha askari
hao wakishangaa(Habari picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Monday, May 25, 2015
Home
Unlabelled
BODABODA WANAOKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI WAANZA KUDAKWA
BODABODA WANAOKIUKA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI WAANZA KUDAKWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment