HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 19, 2015

TOTO ZA CHANGANYIKENI KWA UTUNDUZZ.

 Kamera yetu iliyo ng'alishwa na kumeremeta na libeneke lako pendwa la mtaa kwa mtaa blog bila kuchoka na kuzidi kukazana katika swala zima la ukaguzi wa mitaa mbalimbali na kukuletea kilichojili mtaani kwako na mtaa wa jirani yako leo ilipenya moja kwa moja mitaa ya changanyikeni na kuwakuta watoto wadogo wakiwa katika maandalizi ya kupasha misuli kuajili ya kazi baadae pindi watakapo ongezeka umri kwani nyota njema huonekana hasbuhi katika taswira hapo juu ni moja ya toto tundu akiwa juu ya ukuta ulio mzidi kina.
               dogo akiendeleza harakati juu ya ukuta huo mtaani hapo.
 unajua jinsi alivyo panda ukuta huo basi usiulize hata kushuka ukuta huo atashukaje shukaje.
                      mwenzie katika fani nae akipanda ukuta kiulainiiii.picha na Mtaa Kwa Mtaa Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad