HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 12, 2015

YANGA YAENDELEZA UBABE LIGI KUU, YAITUNGUA MBEYA CITY 3 - 1 LEO

Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa akiwania mpira wa juu na beki wa Timu ya Mbeya City, Christian Sembuli wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanga imeshinda Bao 3 - 1. Picha na Othman Michuzi.
Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akiwatoka Mabeki wa Timu ya Mbeya City wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanga imeshinda Bao 3 - 1. 
Kiungo Mchezeshaji wa timu ya Yanga, Haroun Niyonzima akiangalia kwa kupeleka mpira wakati wa mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Yanga imeshinda Bao 3 - 1.
Kipa wa Mbeya City, Hanington Kalyesubula akiangalia mpira wavuni huku washabiki wa Yanga wakishangilia ushindi wao.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakisangilia ushindi ushindi na washabiki wao.
Oscar Joshua wa Yanga akionyeshana uwezo na Richard Peter wa Mbeya City.
Chupu chupu......
Ujumbe wa wanaYanga kwa Nahodha wao.
Beki wa Mbeya City, Juma Nyoso akiangalia namna ya kumtoka Mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad