HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 20, 2015

KIBAO CHA KUONYESHA MCHEPUKO WA NJIA KILICHOCHOMEKWA KATIKATI YA LUNDO LA TAKA

Hivi ni hali hali ya usafi ikuwepo katika jiji letu hili, Maana kila kona mambo ni haya haya na hakuna anaehangaika kuweka jiji safi. sasa hapa hapa na kibao cha kuchepuka kwa njia kimechomekwa kwenye lundo hilo la taka, kama ilivyonaswa taswara hii katika makutano ya Mtaa wa Mafia na Sukuma, Kariakoo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad