HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, April 26, 2015

HUU NDIO MCHEZO WA CHANA SAMBA UCHUKUEE.

 Mzee wa mtaa kwa mtaaa alipo kuwa katika matembezi yake yeye pamoja na kamera ya libeneke lako pendwa na kukuta jiunsi ambavyo pesa ikitafutwa kwa jasho mitaa ya nanii pale ambapo palikuwa na hafra fupi kisha mchezo wa "Chana Samba Uchukue" ukaanzishwa na watu kuanza kuchana misamba hatimae kwa atakae bahatika kuchuku shikeli basi ndiyo jasho lake hilo kama ambavyo mdau hapo juu katika taswira..picha na Mtaa Kwa Mtaa blog.
 mdau akichana samba kuifuata sh.200, mia mbili iliopo chini katika mchezo wa Chana Samba Uchukue.
 mwana dada nae akijikakamua kuifuata sh.400, mia nne kama zionekanavyo katika taswira.
Jeroo hiloo likinyakuliwa katika mchezo wa Chana Samba Uchukue mitaa ya nanii pale.
                           Si mchezo hapa lolote linaweza kutokea.
baadhi ya mashabiki wa mchezo huo wakishabikia timu zao katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad