HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 25, 2015

HAPA NDO LIMEFIKA NA MPAKA LIJAEE NDO TUJE KULI TOA.

 Hawa jamaa vipi tena na hili dampo hapa njia panda au wanajua wote hatuna magari ndio maana wanatukomoa wameamua kuweka katikati ili tushindwe kupita si mngetuambia kama hamtaki tutumie njia hii kwa magari yetu au ndo kipita shoto tenaaa??
hivi ndivyo paonekanavyo mtaani kwetu na dampo letu pendwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad