HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 28, 2015

Biashara ya Samaki wa Kukaanga Kijiji cha Somanga, Kilwa Mkoani Lindi

 Wauzaji wa Samaki wa wakukaanga wa aina mbalimbali wakiwa katika eneo lao la kujidai kando ya kituo kikuu cha Mabasi cha Somanga, Kilwa Mkoani Lindi kama walivyokutwa na Kamera ya Mtaa kwa Mtaa.
 Hapo waweza kutana na bonge la Samaki lakini kwa bei chee kabisa.
 Biashara yake mapozi
 Mdau Josheph Mpangala akiulizia bei ya Samaki kwa wauzaji wake.
 Wakinamama wengi wa Kijiji hiki wamejitoa kwenye biashara hii ya uuzaji samaki ambapo baadhi yao, wanaletewa na Waume zao ambao ni wavuzi.
Nami nikaona si mbaya kujipatia Selfie.

1 comment:

Post Bottom Ad