HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 31, 2015

WANANCHI WAASWA KUKUZA KISWAHILI

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Kitengo cha Lugha Hajaty Shani Kitogo akizindua vitabu viwili vya Kuzaliwa kwa Msafiri na Hadithi za Watoto ambavyo vimetayarishwa na Kituo cha Utamaduni cha India.Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam
Balozi wa India nchini Debnath Shaw kushoto akimkabidhi vitabu mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Makumbusho Sabrina Komba mara baada ya uzinduzi wa vitabu hivyo uliofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar salaam jana.
Baadhi ya washiriki wakishuhudia uzinduzi wa vitabu viwili vya Kuzaliwa kwa Msafiri na Hadithi za Watoto ambavyo vimetayarishwa na Kituo cha Utamaduni cha India.Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakisoma Vitabu vilivyozinduliwa katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam Picha zote na Frank Shija WHVUM

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad