HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 28, 2015

WAFANYA BIASHARA JIJINI MBEYA WAENDELEA KUJIVUNIA UHODARI WA MAKUFULI YAO KATIKA MGOMO WA KUTOFANYA BIASHARA UNAO ENDELEA NCHINI.

 Taswira mbalimbali zikionyesha hali ya kufungwa kwa maduka jijini Mbeya kufuatia mgomo wa wafanya biashara unaoendelea nchi nzima.
eneo lote la Soko la Mwanjelwa kimyaaaa
mitaa yote kufuli tuuu.
wafanya biashala wakiwa wameketi nje ya maduka yao.

 mpaka saluni eti zimefungwa duu. picha na Fadhiri Atick (mr.pengo) Mbeya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad