HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 30, 2015

Mradi wa NHIF UDOM wawavutia wanahabari

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakisikiliza taarifa ya Maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Kituo cha Kisasa cha Uchunguzi wa Magonjwa kinachojengwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwa udhamini wa Serikali.
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Bw. Rehani Athuman (aliyesimama) akitoa ufafanuzi wa maswali ya waandishi.
Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji Bw. Deusidedit Rutazaa akielezea ujenzi wa mradi huo wakati waandishi walipotembelea.
Bw. Rutazaa akiendelea kutoa maelezo ya namba vyumba vya jingo hilo vitakavyotumika
Sehemu ya wadau waliohudhuria mkutano huo.
Mwonekano wa Kituo hicho kwa nje.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad