HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 27, 2015

LORI LAGONGA TRENI JIJINI DAR LEO

 Lori la Mizigo lenye namba za usajili T 535 CCT mali ya Kampuni ya Coast Millers Limited watengenezaji wa Unga wa Ngano wa Nyati, likiwa nje ya barabara ya Kawawa eneo la Karume mara baada ya kuigonga Treni ya TRL mapema leo asubuhi.
Sehemu ya mashuhuda wa tukio hilo.
Askari Polisi wakiwa eneo la tukio. 
Lori hilo lionekanavyo baada ya kugonga treni.
Treni likiwa nje ya Reli baada ya kugongwa na Lori mapema leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad