HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 2, 2015

HUU NDIO USWAHIBA WA KWELI

Katika pitapita zangu huko Mitaani,nilikatiza eneo hili na kukuta Gari hili la kubeba Taka likiwa limeegeshwa kando ya Barabara huku mmoja wafanyakazi kwenye Gari hilo alikuwa akifanya kazi ya kutoa makopo ya Plastiki (ambayo ni dili sana kipindi hiki) yaliyokuwamo kwenye lumbesa la taka hizo na kumrushia swahiba wake aliekutana nae njiani akisaka makopo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad