HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 31, 2015

Hii ndio alama ya Mjini

Nakumbuka kuna Wimbo mmoja wa Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya ambayo ndani yake kuna maneno kwamba hapa mjini ukiona nyumba imewekwa alama ya kwamba haiuzwi, basi jua hiyo ndio alama ya mji.Na hapa ni Mwananyakala na alama hiyo inaonekana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad