HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 6, 2015

CHOKI, FRESH JUMBE NA NYAMWELA KUPIGA BONGE LA SHOO JAPAN

Mwanamuziki nguli wa siku nyingi, Mtanzania anayefanya shughuli zake za kimuziki nchini Japan, Fresh Jumbe, anatarajia kufanya onyesho jukwaa moja na mwanamuzi kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki na Kiongozi wa shoo wa bendi hiyo, Super Nyamwela kwa kushirikiana na Dj Kay Dee na Dj Smple K. Shoo hiyo itafanyika Machi 21, mwaka huu katika ukumbi wa Ace Cafe Zama nchini humo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad