HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 27, 2015

KIJANI CHAZIDI KUTAWALA JIJINI DAR

Muitikio wa kupanda miti katika maeneo ya pembezoni mwa barabara za jiji la Dar umejibu kweli kweli,maana sasa hivi kila unakokatisha ni kijani kitupu kuanzia chini mpaka juu,kiasi kamba hata chemba zilizowazi hazionekani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad