HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 25, 2015

TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA MBEYA JINSI ILIVYO KUWA LEO.

 Hizi ni taswira za ukungu ulio ambatana na baridi iliyo piga leo jijini mbeya majira ya asubuhi, na hii ndio hali halisi iliyopo mkoani mbeya kwa sasa katika baadhi ya maeneo.picha zote na Fadhiri Atick a.k.a Mr.Pengo wa globu ya jamii nyanda za juu kusini.
                                               

                                                                   mitaa ilivyo chafuka.
                 baridi lina piga lakini vinyaji havisitishwi kutiwa kwenye friji.
                                                 fundi mbao nae ndani ya sufi.


 kama huna koti kwa sasa mbeya ina kula kwako kila mtu ndani ya koti au jaketi kwa kujistiri na baridi iliopo.
  kwa ukungu jinsi ulivyo kuwa wakutosha michuma yote inameremeta kwa kuwaka taa.
 wageni nao wanawasili mkoani wakazi wa mbeya wanawakaribisha kwa moyo wote.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad