HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 30, 2015

SIKU YA KIMATAIFA YA FARAGHA YA TAARIFA (DPD) NA YAKUZINGATIA

Mataifa mbalimbali duniani ifikapo tarehe 28 ya kila mwezi wa kwanza wanaadhimisha siku ya kimataifa ya faragha ya taarifa ambapo kunakua na matukio mbali mbali ya kuhamasisha njia rafiki za kuweka salama taarifa za watu hasa wawapo mtandaoni. Taarifa zaidi za siku hii "BONYEZA HAPA"

Siku hii imekua ikitumika vizuri kwa ushirikiano mkubwa ma mashirika binafsi, serikali na vyombo vya habari kukumbusha watumiaji mitandao kuzingatia matumizi salama ya mitandao ili kubakisha taarifa za watumiaji mtandao salama.

Inafahamika, ukuaji wa wa kasi wa Teknolojia umeambatana matumizi yasiokusudiwa wa teknolojia ambapo umekua ukihatarisha sana ufaragha wa watumiaji wa teknolojia hizo. Kwa kuzingatia hili siku ya kimataifa ya faragha ya taarifa imekua ikihimizwa kutumika vizuri kukumbusha watumiaji mtandao yale yanayoweza kuhakikisha taarifa zao zinabaki salama watumiapo mitandao.

Kwa uchache mambo kadhaa ya kuzingatia ili kuweza kulinda faragha yako ya taarifa ikiwa ni ukumbusho ni kama yafuatayo:-

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad