HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 28, 2015

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO KWA NCHI MASIKINI DUNIANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani,  Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenkekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula cha mchana cha mazungumzo baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani,  baada ya kumalizika kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Mwenyekiti Mwenza wa Bill & Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates wakati wa chakula cha mchana cha mazungumzo na kuhusu kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo ya GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishukuru baada ya kupokea tuzo ya GAVI toka kwa mwenyekiti wa Bodi wa taasisi hiyo Bw. Dagfinn Høybråten kutokana na mchango wakd mkubwa katika kuundwa na hatimaye kusimia utekelezaji wa mipango ya GAVI hata kufanikisha upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani,  Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, kabla ya kuanza kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda Gates Foundation, Bw. Bill Gates, huku Waziri wa Maendeleo ya Uchumi wa Ujerumani Bw. Gerd Muller, Rais wa Mali Mhe. Ibrahim Boubacar Keïta jijini Berlin, Ujerumani, wakati wa chakula cha jioni cha mazungumzo na harambee ya kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad