HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, January 25, 2015

PAKA WA USWAZI KWETU.

 Paka huyu mwenye ulafi wa aina yake leo kapata mahala pa kujitanua na msosi wanguvu juu ya friji, ni mala chache sana kuona paka anafakamia vyakula kama hivi na ukiona hivyo ujue paka huyu huwenda hapati chochote kitu ndio maana leo kaamua kucheza na mahindi ya mmiliki wake.
                                               mwendo wa kuji chana tuuu.
 paka huyu anautani basi hana nongwa fisi kaachiwa bucha leo paka kageuka panya.
             baadhi ya vitongoji vilivyo binafsishwa na paka wa uswazi kwetu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad