HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 28, 2015

MTI WA MWEMBE KATIKATI YA BARABARA

Huu mti umepandwa katikati ya Barabara ya Mtaa wa Chato unaokuja kukutana na Bagamoro rodi,Mikocheni A jijini Dar es salaam usoni kabisa mwa hospitali ya AAR .Mti huu umepandwa ili kuziba pengo kubwa la shimozz lililopo katika eneo hilo.huu ni utaalam wa hali ya juu sana na unastahili pongezi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad